Bakwata yataka wavunjifu wa amani wafichuliwe

Sheikh Mkuu wa Baraza la Waislam mkoa wa Tanga nchini Tanzania, Juma Luwuchu, amewataka viongozi wa dini mbali mbali mkoani humo kuhakikisha wanakemea na kufichua baadhi ya wenzao ambao wanahusika na uvunjifu wa amani na kuhatarisha usalama wa nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS