Wizara yawaonya mawakala binafsi wa ajira

Waziri wa kazi na ajira nchini Tanzania Bi. Gaudensia Kabaka

Wizara ya Kazi na Ajira nchini Tanzania imesema, itasitisha huduma kwa wakala binafsi wa huduma za ajira nchini watakaoshindwa kukidhi vigezo walivyopewa ifikapo mwisho wa mwezi huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS