Mafikizolo watua Dar, Waahidi bonge la show
Kundi bora la muziki Afrika, Mafikizolo limetua leo kwa kishindo Jijini Dar es Salaam tayari kabisa kwa ajili ya kazi moja tu ya kuwarusha mashabiki wa muziki katika bonge la shoo ambayo itafanyika kesho katika ukumbi wa Mlimani City.