Shappaman, Hii ndio sababu ya Camp Mulla kuvunjika
Shappaman, staa wa muziki wa nchini Kenya ambaye aliibuka katika umaarufu akiwa anafanya kazi pamoja na kundi la Camp Mulla ambalo mpaka sasa limegawanyika, ameweka wazi sababu halisi ya kufikia kikomo kwa kundi hilo.