Miss TZ avutiwa na wanafunzi
Miss Tanzania, mrembo Happines Watimanywa, amesema kuwa, tangu amelitwaa taji hilo kubwa la urembo hapa nchini mpaka sasa, kitu ambacho kinamgusa sana kukifanya ni namna ambavyo anapata nafasi ya kukutana na wanafunzi na kuzungumza nao.