Jua Cali kuvamia fani ya filamu Jua Cali Rapa kutoka nchini Kenya, Jua Cali amesema kuwa ana mpango wa kujiingiza katika tasnia ya filamu na kuanza kufanya uigizaji, kitu ambacho amekuwa akikitamani kwa muda mrefu sasa. Read more about Jua Cali kuvamia fani ya filamu