Timu ya watoto wa mitaani yazidi kupongezwa. Mabingwa wa kombe la dunia timu ya TSC ya Tanzania Pongezi nyingi zimeendelea kutolewa na watu mbalimbali kuipongeza timu ya watoto wa mitaani ya Tanzania iliyotwaa ubingwa wa dunia huko Brazil Read more about Timu ya watoto wa mitaani yazidi kupongezwa.