Mpinzani aendelea kujifua leo
Bondia Gavad Zohrevand toka nchini Iran ambaye aliwasili nchini jana jioni hii leo amefanya mazoezi katika gym ya Rio tayari kumkabili bondia Mtanzania Francis Cheka SMS katika mpambano mkali wa dunia uzito wa juu mwepesi yaani light heavy weigh.