Producer Max aamua kushika 'Microphone'

Maxmillian Rioba

Mtayarishaji muziki kutoka Authentic Studios ambaye pia ni Meneja wa msanii Young Dee, Maxmillian Rioba ameamua kuonesha upande mwingine wa kipaji chake katika muziki, ambapo na yeye ameachia ngoma yake mwenyewe inayokwenda kwa jina Lisa Love.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS