Pande kinzani bunge la katiba kupatiwa suluhu Bunge la Katiba Tanzania Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania linapanga kutafuta suluhu ya mgogoro katika Bunge maalum la Katiba ili Bunge hilo liendelee na vikao vyake katika hali tulivu. Read more about Pande kinzani bunge la katiba kupatiwa suluhu