Mtoto afungiwa chumbani miaka 9 Mtoto aliyekuwa amefungiwa kama alivyokutwa na kamera ya EATV Mtoto mmoja Wilayani Korogwe amegundulika amefungiwa ndani ya Chumba kwa muda wa miaka 9 kutokana na hali yake ya ulemavu. Read more about Mtoto afungiwa chumbani miaka 9