Mabaraza ya ardhi yameshindwa kazi - LHRC

Mkurugenzi mkuu wa kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) Bi. Hellen Kijo-Bisimba.

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania LHRC, kimesema mabaraza mengi ya usuluhishi wa migogoro ya ardhi yameshindwa kutatua migogoro hiyo kutokana na mabaraza hayo kutozijua sheria za ardhi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS