Nirvana E2014/19
Je wewe ni kaka unayependa kuwa na 'six packs' ? Peter anarudi tena wiki ijayo kwenye 'man workout series' akionyesha jinsi ya kuwa fit na mwenye afya. Mara ya mwisho alizungumzia mazoezi ya kifua kwa kina kaka je wiki hii ataongelea nini?