Kaya 250,000 kunufaika na uzalishaji maziwa Zaidi ya kaya 250,000 zitaanza kunufaka na mradi wa uendelezaji sekta ya maziwa Tanzania unaolenga kuboresha maisha ya wafugaji wadogo katika mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe. Read more about Kaya 250,000 kunufaika na uzalishaji maziwa