Uchaguzi serikali za mitaa uko pale pale -Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema kuwa uchaguzi mkuu wa serikali za ufanyika mwishoni mwa mwaka huu huku jitihada zikifanywa na serikali kuwaomba umoja wa katiba ya wananchi -UKAWA kukubali kuridhia ombi la kurudi bungeni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS