Askari polisi watatu watiwa mbaroni kwa mauaji

Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Tarime na Rorya kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi Justus Kamugisha

Jeshi la Polisi kanda maalum ya Tarime na Rorya, linawashikilia askari wake watatu kwa tuhumu za mauaji ya kijana mmoja waliyemkamata kwa kosa la kuvuta bangi na kucheza kamali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS