Jaji mkuu azungumzia hatma ya mchakato wa katiba

Jaji mkuu wa Tanzania mheshimiwa Othman Chande.

Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande amesema Katiba mpya itapatikana aendapo kutakuwepo na makubaliano baina ya wajumbe wa bunge la Katiba ambao wanaounganishwa na vyama vya siasa na taasisi mbalimbali nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS