TADEA yawataka UKAWA kurejea bungeni

Baadhi ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakijadili moja ya vipengele tata katika rasimu ya pili ya katiba.

Chama cha upinzani nchini Tanzania cha TADEA, kimeutaka umoja wa katiba ya wananchi UKAWA kurejea katika Bunge Maalumu la Katiba ili kukamilisha mchakato wa kuwapatia Watanzania katiba mpya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS