Michuano ya Riadha Taifa kutimua vumbi July 12 DSM

Baadhi ya wanariadha katika mashindano ya Riadha Taifa yaliyowahi kufanyika katika uwanja wa Taifa DSM

Michuano ya Riadha taifa yanataraji kuanza kutimua vumbi July 12 mwaka huu katika uwanja wa Taifa DSM ikishirikisha mikoa zaidi ya 10 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS