Kaimu Balozi wa Libya ajiua kwa risasi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa leo imepokea taarifa kutoka Ubalozi wa Libya hapa nchini kuwa aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya, Bwana Ismail Nwairat, amefariki dunia jana kwa kujipiga risasi. Read more about Kaimu Balozi wa Libya ajiua kwa risasi