LHRC yabaini mkakati wa kutaka kuifuta
Kituo cha sheria na haki za binadamu nchini LHRC kipo hatarini kufungwa na shughuli zake kusitishwa moja kwa moja, iwapo mahakama kuu itaruhusu tozo ya fedha za Tanzania shilingi bilioni 2.8 ambazo kituo hicho kinatakiwa kilipe kwa kampuni ya Dowans.

