TCCIA yaikosoa serikali kuhusu ajira kwa vijana
Chama cha wafanyabiashara, wenye viwanda na kilimo Tanzania kimesema jitihaha za serikali katika kusaidia ajira kwa vijana haziwezi kufikiwa endapo mipango itaandaliwa kisiasa bila kuwa na malengo yanayopimika na kushirikisha sekta binafsi.

