Piga kura, chagua viongozi bora. #ZamuYako2015 Dunia ya jana syo hii ya Leo,Tanzania inahitaji viongozi wenye macho ya kuona na masikio ya kusikiliza , tujitokeze Octoba 25 tufanye mabadiliko kwa pamoja. Read more about Piga kura, chagua viongozi bora. #ZamuYako2015