Tunahitaji mabadiliko ya kweli. #ZamuYako2015 Mabadiliko ni muhimu ili kuleta maendeleo katika nchi yetu, na mabadiliko yanaanza na mimi na wewe kwa kupiga kura kumchagua kiongozi bora na mchapakazi. Read more about Tunahitaji mabadiliko ya kweli. #ZamuYako2015