Uongozi nafasi chache TAHA hakuzuii uchaguzi - BMT
Baraza la Michezo Nchini BMT limesema licha ya watu kushindwa kujitokeza kuchukua fomu katika baadhi ya nafasi katika uchaguzi Mkuu wa Chama cha Mpira wa mikono nchini TAHA lakini hazitaathiri uchaguzi huo.

