Tenisi walemavu yaenda Kenya kutetea Ubingwa wake
Msafara wa watu 10 wa kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania mchezo wa tenisi kwa walemavu wheel chair tennis kikiwa na wachezaji 9 na kocha mmoja kinaondoka Alfajili ya jumatatu kuelekea jijini Nairobi nchini Kenya kikiwa na matumaini makubwa