Tutamaliza usafirishaji haramu wa Binadamu-Bilal Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilali . Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilali ameihakikishia dunia kuwa serikali ya Tanzania ina dhamira ya dhati ya kumaliza tatizo la usafirishwaji haramu wa binadamu. Read more about Tutamaliza usafirishaji haramu wa Binadamu-Bilal