Tusifanye vurugu wakati wa uchaguzi. #zamuYako2015 Watanzania wezangu tusichague chama tuchague kiongozi anayetufaa ambaye atatuletea maendeleo katika nchi yetu pia tusifanye vurugu wakati wa uchaguzi. Read more about Tusifanye vurugu wakati wa uchaguzi. #zamuYako2015