Vilabu 10 kushiriki Wavu Taifa Jumatano Arusha Timu 10 kutoka mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Mwanza na wenyeji Arusha zinatarajia kushirki michuano ya Wavu Klabu bingwa Taifa inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Agosti 26 mwaka huu jijini Arusha. Read more about Vilabu 10 kushiriki Wavu Taifa Jumatano Arusha