Stars yaelekea Uturuki leo, Manula mgonjwa abaki Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzani Taifa Stars kimeondoka leo kuelekea nchini Uturiki kuweka kambi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria huku kikimuacha mlinda mlango wake Aishi Manula. Read more about Stars yaelekea Uturuki leo, Manula mgonjwa abaki