Vanessa Mdee ajifunza kwa mama Nyota wa muziki nchini Vanessa Mdee, Nyota wa muziki Vanessa Mdee, ameeleza namna ambavyo anamhusudu mama yake akiwa ni mfano bora ambao anafahamu kabisa kuwa akiuiga ataelekea kuwa mtu bora kabisa katika maisha yake. Read more about Vanessa Mdee ajifunza kwa mama