Minja afutiwa kesi uchochezi kwa wafanyabiashara Mwenyekiti wa wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja. Mwenyekiti wa wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja amefutiwa kesi yake ya uchochezi iliyokuwa inamkabili katika mahakama ya wilaya ya Dodoma. Read more about Minja afutiwa kesi uchochezi kwa wafanyabiashara