Wanawake watakiwa kujitokeza kugombea Uongozi
Wanawake wanaowania uongozi katika nafasi ya udiwani wa kata na viti maalum katika halmashauri ya wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wametakiwa kujiamini na kujitokeza katika kuwania nafasi hizo kwa kuwa wanaweza.
