CCM, yawekewa pingamizi la ubunge Njombe
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Njombe kimemuwekea pingamizi mgombea wa Chama cha Mapindusi CCM, kiti cha ubunge jimbo la Njombe Kusini Edward Mwalongo, na kusema kuwa hawana imani na msimamizi wa uchaguzi msaidizi wa jimbo hilo.
