Mkwasa aahidi ushindi mechi na Nigeria

Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Twiga Stars Boniface Mkwasa amesema, anaamini watafanya vizuri katika mechi dhidi ya Nigeria kutokana na maandalizi wanayoendelea nayo nchini Uturuki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS