UKAWA bado hakijaeleweka Mtwara,waandishi matatani
CHAMA cha Waaandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara (MTPC) kimefanikiwa kuwakutanisha na kumaliza mvutano uliokuwepo awali juu ya chama gani kimepewa ridhaa ya kusimamisha mgombea ubunge katika jimbo la Mtwara mjini na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
