Ne-Yo kufanya kazi na mastaa EA
Baada ya taarifa za ujio wa staa wa muziki wa R&B wa kimataifa Neyo nchini Kenya, mkali huyo anatarajiwa kukutana, pia kutoa nafasi ya uwezekano wa kufanya kazi pamoja na wasanii wanaofanya vizuri hapa Afrika Mashariki.