Vanessa awataka vijana kujitathimini
Ikiwa leo ni maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani, staa wa muziki Vanessa Mdee ametoa ujumbe kwa vijana kutumia nafasi hii kufanya tathmini ya harakati zao katika safari kuelekea kutimiza ndoto zao katika shughuli zao.