CCM kusuka au kunyoa Dodoma hii leo
Wakati majimbo matano yakirudiwa Uchaguzi wa Kura ya Maoni hii leo ndani ya Chama cha Mapinduzi leo chama hicho kinatarajia kutoa baadhi ya majina ya Wagombea Ubunge watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika Uchaguzi mkuu wa mwezi October.