Saturday , 5th Sep , 2015

Rapa Bonta maarifa baada ya kushambuliwa na maoni tofauti kutoka kwa mashabiki juu ya ujio wa ngoma yake ya Mapenzi Matam, wiki 2 baada ya kutoka kwake na ujumbe wake kuendelea kueleweka, kundi la mashabiki 'waliomdiss rapa huyo, wameendelea kugeuka.

Bonta Maarifa

Bonta pia ameeleza kuwa, uzoefu alioupata kupitia kuachia kazi kama hii pia umemfunza juu ya namna ambavyo watanzania wengi wapo katika hatari ya kuathiriwa na sheria mpya ya mitandao, kutokana na wepesi wao wa kutukana nakutoa maamuzi kwa mtazamo wa juu juu.

Kwa kuanzia Dr... hali ilikuaje?