Makundi Dance 100% yapigwa semina
Makundi 10 ambayo yamefanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Dance 100 2015, leo hii yameweza kupatiwa semina elekezi sambamba na kuchagua miziki ambayo watatumia katika mzunguko wa kwanza wa michuano hiyo tarehe 19 mwezi huu.
