Moze Radio adaiwa kurudia ulabu

Moze Radio

Star wa muziki wa nchini Uganda, Moze Radio ameripotiwa kurejea katika tabia yake ya awali ya kupiga mtungi kupindukia, hii ikiwa ni baada ya kutangaza kuachana na vilevi ikiwepo uvutaji wa bangi siku 16 zilizopita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS