NUH: Bila meneja muziki unachosha
Nyota wa muziki Nuh Mziwanda ameeleza kuwa, katika ngazi aliyofikia hafikirii kufanya kazi na meneja kutokana na kuelewa mahitaji ya nafasi hiyo na gharama zake kwa Tanzania kukiwa na uchache wa wasiamiaji muziki wenye uwezo wa kufanya kazi hiyo.

