Tutazindua Ligi na Pointi tatu - Kocha Shime

Kikosi cha Timu ya Mgambo Shooting ya jijini Tanga

Kocha wa Timu ya Mgambo Shooting Bakari Shime amesema timu yake itazindua harakati zake za Ligi kuu ya Soka Bara kwa kunyakua pointi tatu muhimu dhidi ya Ndanda Fc kwani wanaamini usajili walioufanya pamoja na mazoezi ndio ngao yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS