Twiga Stars na Nigeria leo All African Games Timu ya Soka ya wanawake, Twiga Stars leo inatarajiwa kutupa karata yake nyingine dhidi ya Nigeria katika michuano ya All African Games inayoendelea nchini Congo, Brazzaville. Read more about Twiga Stars na Nigeria leo All African Games