KALAPINA AHAIDI KUPAMBANA NA MADAWA KINONDONI Mgombea ubunge jimbo la kinondoni kupitia ACT Wazalendo Karama Masoud (Kalapina) ameahidi kupambana na tatizo la madawa ya kulevya ambalo linaathiri vijana wengi katika jimbo la kinondoni. Read more about KALAPINA AHAIDI KUPAMBANA NA MADAWA KINONDONI