Serikali imepiga hatua katika sekta ya Afya

Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal

Serikali ya Tanzania kupita Wizara ya Afya na Ustawi Jamii imefanikiwa kupiga hatua katika kudhibiti magonjwa yaliyokuwa tishio kwa afya ya mama na mtoto ndani ya kipindi cha miaka 10.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS