Tarsisi: Mimi simuigi Christian Bella
Mkali wa miondoko ya muziki wa dansi nchini anayeimbia bendi maarufu ya Akudo Impact Tarsisi Masela amekataa kata kuhusu uvumi wa baadhi ya mashabiki kusema kuwa anamuiga staa Christian Bella katika uimbaji wake.

