Wazazi watakiwa kuwekeza katika elimu
Wazazi nchini wametakiwa kuwawekeza watoto wao katika sekta ya elimu ili kuhakikisha watoto wanapata elimu bora itakayowawezesha kuwa mabalozi wazuri wa nchi yao sambamba na kujiwekea utaratibu mzuri wa maisha yao ya hapo baadaye.
