TMF kuwawezesha waandishi wa habari za uchunguzi
Mfuko wa vyombo vya habari nchini TMF utaanza kutoka ruzuku maalum kwa ajili ya kuwawezesha wanahabari za uchuguzi kuibua tuhuma za ufisadi na nyingine nzito kama vile kashfa za Escrow, Richmond au EPA

